Mpenzi wangu ananitembelea leo napiga usafi

Mpenzi wangu ananitembelea leo napiga usafi

Kweli una nyege, hadi kuandika umeshindwa...pole!!!

Naunga mkono hoja...
Hapo kwa mfano tu dada yake akaamua kumtembelea bahati mbaya lazima amfukuze. Halafu hii kutangazatangaza ndo anatia nuksi dem asije bure!
Kwanza tupewe mrejesho kama dem mwenyewe alikuja
 
ha ha ha atakuwa anachungulia tu dirishani huku kavaa zake boksa af mtoto hatokei
 
Hii thread and imenichekesha sana, ganzi hadi anashindwa kuandika
 
Nashukuru rafiki yangu kipenzi kaja geto,ameingia hadi kitandani. Lakini tumeahidiana kujitunza mpaka kufunga ndoa. Tumekubaliana tuwe walinzi wetu wenyewe. Yeye ajiangalie tu hata akinicheat,basi tukija kukutana mara ya kwanza kimwili,ntajiona kama ndo namuanza. Nitamjali sana. Pia naombeni radhi kwa kuwa nilikoseakosea herufi nilipoanza hii thread. Ndo mda huo alipiga cm kwamba yupo kituoni. Nampenda.
 
Back
Top Bottom