sempulinho
Member
- Oct 6, 2013
- 54
- 12
sasa anatembea na wafanyakazi wenzie wote? Unamaanisha ofisi nzima ama? Na sms zinaonyesha beyond reasonable doubt kuwa anatembea nao?
Kuishi na mwenza kama wewe ni mtihani. Hebu fanyia kazi kujiamini kwako kwanza, halafu utafurahia mahusiano yako hadi utashangaa.
Acha aliwe tu. Lindoni mengi hutokea, wanawake na wake za watu huliwa sana!
Kwa kuwa ni Mpenzi na sio Mke, unanyo nafasi ya kuchukua maamuzi mepesi ya kuachana naye. Angekuwa Mke ndo ingekubidi kuchukua maamuzi magumu.Sio ofc nzima ndug ila na wafanyakaz wenzie wa vikos tofaut,ndug king'asti ungekua na mwenza kama mie na umetulia ungekua na aman
Kwa kuwa ni Mpenzi na sio Mke, unanyo nafasi ya kuchukua maamuzi mepesi ya kuachana naye. Angekuwa Mke ndo ingekubidi kuchukua maamuzi magumu.
Tafta kabinti laiiiiiiiini kabichiiiii ukatafune na mifupa yoteeee utafune. Umkomeshe. Thawa???
Ilo ndio suluhisho mwsho wa siku mnakuja peana magonjwa