Ushauri lipiza kisasi hii ndio nzuri weka mahusiano hayo na marafiki zako mtime hana ubusy mtoe outing ya maeneo mapya na marafiki na mabarmaids wawe wanakuongelesha unamuacha unaenda kucheka counter na mabarmaids pia marafiki uliowasettle wakija akiwaona unaongea nao unahamia meza yao kabisa akikufuata unadai nakuja tuone kama yeye atapenda
Penda kutembea naye maeneo unayoyajua unajali watu wabarabarani na simu zikiingia unaongea nazo akipiga unakuwa unakata akikuuliza unasema nipo busy simu zinaita za muhimu wewe unapiga piga