jun255
JF-Expert Member
- Nov 14, 2015
- 391
- 280
Habari?
Mimi na mpenzi wangu ambaye nampenda sana na yeye ananipenda sana.Huyu mdada nimemkuta anatatizo la kuumia wakati wa sex hivyo ilichukua muda mrefu kunikubalia tusex na hapo mpk nilimjenga kisaikolojia na kuniona niko tofauti na waliopita.
Siku ya kwanza kusex sikujali me kuridhika ila nilijitahid kwanza asipate yale maumivu na kweli hakuyapata.Siku ya pili kusex nilijitahidi mpaka kuhakikisha namfikisha na kweli nilifanikiwa.Baada ya hapo mapenzi yamekuwa kero kwangu! Amekuwa akitaka nimchezee au kumuandaa (huku akidai najua kumuandaa) mpaka anapokojoa.
Tatizo hayuko tayari nisex nae mpaka nimuandae na akojoe na wakati anafika huwa lazima akung'ate kwa nguvu mpaka kuniachia alama.Tatizo akishafika kwa kuchezewa hataki tusex au hata akikubali tusex anakuwa hasikii chochote coz ye alisharidhika hivyo anakuwa katulia tu me nijisavie mpaka nitosheke na hakuna ushirikiano tofauti na napokuwa namuandaa.
Jamani nahisi huyu anasagana ndo maana anakuwa hivi na pia nakereka anavyonitia alama na meno yake.
Nifanyeje kwani kawa kero sasa kwangu?
(Copy kutoka page ya insta mapenzinamahusiano