Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

Kuhusu kukupa unachohitaji nikwamba anaebwana mwenye pesa anamuhonga, kwahiyo unakula jasho la mwanaume mwenzio,
NB. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao hawajatarajia.

Unamaanisha nn unaposema "wanawake ambao hawajawatarajia"
 
Vuta picha huyo ni bint yako alafu mimi ndio nimepost huu uzi Jf nikiona jambo zuri kabisa....
 
yani dume zima unajisifu kudekezwa na mwanamke?
 
Kibaya zaidi "she belives in me the most"

Kazi kweli kweli
 
Baba ishu ndogo sana hapo kama una nia ya dhati ya kumuacha. Nipe namba yake nimpige Tongozo af wewe uje ufumanie mchezo.
 
Ni pm namba yake niwe chanzo cha kukuharibia hayo mahusiano..
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…