Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!



Utakuja kumbukumba, sie tulikosea kuoa masters, tukasahau kwamba mke ndo hayo yote aliyonayo huyo, ya inteligence ni kujaliwa na Mungu! Tafuta inteligence ukose ambayo yanamfanya mwanamke aitwe mke
 
Engineer kamwe hana tabia za kujisifia sifia hivi mbele za watu.

Nenda kafanye project ikupe sifa, Idiot.
Kwenye hii Thread mkuu hakuna Content inayohusiana na Engineering, stick kwenye Mada
 
Engineer kamwe hana tabia za kujisifia sifia hivi mbele za watu.

Nenda kafanye project ikupe sifa, Idiot.
Mzandiki, mvivu wa kufikiri utamjua tu, Mbona wanawake wenzio wanakubali ukweli?? shida yako iko wapi??
 
Utakuja kumbukumba, sie tulikosea kuoa masters, tukasahau kwamba mke ndo hayo yote aliyonayo huyo, ya inteligence ni kujaliwa na Mungu! Tafuta inteligence ukose ambayo yanamfanya mwanamke aitwe mke
Bless boss, unasikilizika
 
Mkuu unaomba ushauri huku kwani wakati wa kumtongoza na kumgegeda uliomba ushauri huku acha u........
 
Huwa nampenda sana hayati luckydube, kila ninapopata depression huwa nasikiliza sana nyimbo zake, maana kaimba siasa, dini , na mapenzi kwa kila kona. Kama unaweza kudownload wimbo unaitwa " till you loose it all" usikilize neno kwa neno. Wallah utamganda huyu dada mpaka atakuuliza umebadilika kwa nn. Na kuna mwingine nimeusahau nitakutumia nikikumbuka ila ngoja nikupe mashairi ya huu wa kwanza

"We take a lot of things for granted
One day it' ll be taken away
That' s when you' ll realize
How important it was
You never miss your water
Till your well runs dry
Give thanks and praise all the time
The wolf is always by the door

Chorus:
You don' t know what you' ve got
Till you lose it all again
You never miss your water
Till your well runs dry

He' s a hero, now that he' s dead
Oh what a bull preacherman talks about him
When he was alive
He didn' t even know his name
When he was alive
He didn' t get this love
You never miss your water
Till your well runs dry

Chorus:
You don' t know what you' ve got
Till you lose it again
You never lose your water
Till your well runs dry"
 
Asantee saana kwa Mchangoo wako....asantee sanaa asee
 
We pumba kweli. Yani wakati sisi tunatafuta wakutupenda wewe unataka kumuacha anaekupenda? Shenzy kabisa!!!
 
Mwombe 0713. Lazima ataingia mitini...

Asipoingia mitini akakutunuku huo mtandao ujue kabisa hiyo bikra unayosema umeikata ilitokea Shan Sho Pu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Aseeee duh kweli
 
Ww ndie unaemchezea binti yangu eeh? Subiri niende Kigoma na Sumbàwanga ndio utajua thamani ya bikra ya mwanangu
 
Mkuu nipe namba zake maana tayari umesha nisafishia njia,mm sipendi kutoa bikra.
 
Mbona hata ww una normal intelligence! Muoane tu coz mnafanana. Heading na story haziendan!
 
Unamwandaa single mama hapo au sio! Halafu watoto waje kumtafuta baba yao na mama asithubutu kuwaambia ama aivyo!
 
Kwa bahati mbaya leo sijisikiii kutukana kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…