Mpenzi wangu ananidekeza kinoma Mazee!

ahahahaa Mkuu Ubarikiwe....ila usinilaani bhana
 
Kwanza ulifeli somo la mwandiko
 
Kweli watu mpo busy na IQ ...haiyaa fungua kurasa ingine tusome mr.Engineer

Ila Karma is a bitch
 
Kweli watu mpo busy na IQ ...haiyaa fungua kurasa ingine tusome mr.Engineer

Ila Karma is a bitch
kwanini unasema Karma is a bitch
 
Hiyo intelligence naona hata wewe hunayo,na mlishapishana njia wakati unakuja humu ilikuwa inakufuata huko,sasa hamkutambuana.
 
Kuhusu kukupa unachohitaji nikwamba anaebwana mwenye pesa anamuhonga, kwahiyo unakula jasho la mwanaume mwenzio,
NB. Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao hawajatarajia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…