Mpenzi wangu ananichanganya


hahaha mahaba niteke kama boko haram
 
tunayaita mapenzi ya ukubwani.... na hapo bado, wenzio huwa wanaweuka!!!
 
Umebaki kilo ngapi mpaka nw... Utakufaaa,,,, mabinti mbona wapo wengi sana na wanaojua kupenda.. Acha utoto wa mapenzi ww
 
ukiacha au kuachwa wakati huna pa kujishikiza maumivu yanakuwa mara dufu pole sana, inauma na ni ngumu ila jikaze uendelee na maisha mengine
 
wanaume mabwege kumbe bado wapo?
 
Mwanaaume lazima awe na msimamo vinginevyo utadhalilishwa hao dada zetu maana hawana uvumilivu
 

huyo mwanamke yeye ni rimoti wewe ni tv
 
Kazi ya moyo ni kusukuma damu na si kupenda hahahaha!!!!!!! msamaha wa nn sasa??
 
ukiacha au kuachwa wakati huna pa kujishikiza maumivu yanakuwa mara dufu pole sana, inauma na ni ngumu ila jikaze uendelee na maisha mengine

Mimi nadhani nimefanyiwa surgery ya moyo wakanitia moyo wa chuma.

Kwanza mimi mwanamke labda aniringie mengine siyo sex, nina uwezo mkubwa sana wa kukaa muda mrefu bila hiyo kitu, labda kama kunikomoa utakuwa utanitesa kwa mengine na hasa house keeping. Lakini otherwise i love my self.
 
Haaaahaaa duh utajirestisha ini pisi kwa uzembe wako mpwa kama vipi kazani kwa goma liko pekee ake?huu mtindo wa kusafiri bila spea tairi ndo madhara yake ukipata pancha porini lazima upagawe.
Tafuta na wewe mnyonge ummegee wenyewe wanasema inaongeza hadhi ya kiume neksti taimu uwe na spea tairi hata 2 kwa dharula.
 

hujapenda ndio tatizo
 
WAPI "MBUTA LIKASU" ukuje hapa uchukue na hii mahaba zaidi ya......!!!!!
 
hebu nipe siri ya mafanikio uniokoe na mie, make mi siwezi kukaa bila hiyo kitu na nikinyimwa nalia machozi kabisa na kamas zinatiririka kama mtoto wa kondoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…