kilukunyenge
Member
- Dec 21, 2016
- 20
- 16
haha kwenye astral hakuna mambo hayo mkuu, ingekuwa hivo la!Kuna watu walikua wanafundishana astral projection watafute mmoja mmoja
Dah mimi nilidhani inawezekana hata hivyo maana miongoni mwa faida niliona kumtembelea aliye mbali.haha kwenye astral hakuna mambo hayo mkuu, ingekuwa hivo la!
Wewe unatombewa halafu unakuja humu kujiumbua au?,huyo anambwato na mwanachuo mwenzie,wewe umekazania jini sijui nini?,sasa wacha akuletee mtoto umlee na umpe jina IBILISIhabari wana jamii forum mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu anaesoma mbeya chuo fulani hivi tuna mahusiano ya muda wa miaka miwili hizi mimi nipo mkoani mtwara tatizo la mpenzi wangu huyu amenipigia simu na kuniambia kuwa huwa anakumbwa na tatizo la kufanya mapenzi na mtu asiye mjua wakati akiwa amelala anakuwa kama anaota anafanya mapenzi na akishuta anakuwa kama ametoka kweli kufanya mapenzi na mtu kwani anachoka sana miguu na kiuno kinamuuma na akijikagua sehemu za siri anakuta amemwagiwa manii kwenye sehemu zake za siri na tatizo limemwanza tangu alipojiunga na hicho chuo hilo tatizo limenichanganya sana ninaomba msaada sijui niachane nae tu kwani ninaweza kuletewa maradhi au akapata mimba anaomba msaada wenu kwani nimeshafikiria hadi kuachana nae
hebu niambie ingekuwa wewe mkuu ungemfanyajeWewe unatombewa halafu unakuja humu kujiumbua au?,huyo anambwato na mwanachuo mwenzie,wewe umekazania jini sijui nini?,sasa wacha akuletee mtoto umlee na umpe jina IBILISI
huyo asikudanganye analiwa vizuri kama ni jini atachaje manii hahahahahahahaahhahaha manyoyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa we mwandalie fumanizi kaa kama siku 4 ukiwa una mfatilia eneo aliko then jua anapokaa na fumanizi liwe usikuMuandalie fumanizi mapema,au unasubiri apate mimba?
Ingekuwa mimi naachana nae kabisa,maana hamna kitu kama hicho mwanamke kuliwa na jinni,hayo ni mambo ya kufikirika tu,achana nae, wanawake wamejaa dumia nzima.hebu niambie ingekuwa wewe mkuu ungemfanyaje
Acha ubishi kuna kesi ya walimu walipangiwa kwenda kufundisha mikoani, mkoa nimeusahau walikuwa wakiingiliwa kiuchawi, asubuhi wakiamka wanakuta wamegegedwa, waligoma kufundisha, ilikuwa ishu kubwa mpaka ilitangazwa maredioni, mikoani kuna mambo ya kipumbavu sana, mkuu mwambie huyo binti awe karibu na Mungu sana.Ingekuwa mimi naachana nae kabisa,maana hamna kitu kama hicho mwanamke kuliwa na jinni,hayo ni mambo ya kufikirika tu,achana nae, wanawake wamejaa dumia nzima.