Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 19,946
- 38,648
Sasa kwanini ampotezee muda binti wa watu?. Atuachie sisi waoaji tumuoe.Nyie mnataka kumsukumia mwenzenu kwenye umasikini chronic...eti oa yatajisort... Usioe kama hujajipanga mkuu
Ifike wakati tukubali kuwa kama maisha hayajakaa sawa mambo ya mke achana nayo....tafuta tuu wakugegeda.Nyie mnataka kumsukumia mwenzenu kwenye umasikini chronic...eti oa yatajisort... Usioe kama hujajipanga mkuu
ushauri mzuri sanaSometimes majukumu yanakufanya uongeze jitihada ili uweze kuyamudu. Oa na changamoto za ndoa kama uzazi, makazi n.k vitakuondoa kwenye comfort zone na ukaongeza bidii ya kufanya kazi. Muoe haraka huyo binti nahisi ana karibia kukata tamaa na wewe
Kisima cha Busara na Weledi, utu uzima dawaushauri mzuri sana
Acha woga kuna bodaboda wana wake zao na wanaishi poa
Mtasimama pamoja hukohuko. nenda kapambane ukiwa nae ndio utamuheshimu, kuliko akikuta ushachuma mali zako maana utamdharau na kumuona “gold digger”
Na baada ya kuoa kinachofuata ni kutotoa aisee so mchezoNyie mnataka kumsukumia mwenzenu kwenye umasikini chronic...eti oa yatajisort... Usioe kama hujajipanga mkuu
Ili jibu zuri sana mfano mm nina watoto 6 wife nilimkuta na mtoto mmoja jumla tunao 7 mm nafanya kazi wizara ya ulinzi mtoto wa mke wangu nikamuingiza nae kwenye kwenye kazi hii hii nayo fanya mimi uyu dogo now ni private juzi tuu hapa ndo ametoka maliza mafunzo yake ya rts apo kiangaiko now yupo 9* anafanya level 3 sasa huyu dogo my step son nampenda sana kwanza ana heshima na ananisikiliza mno mana mm ndo nimemlea tokea akiwa na miaka mi 3 mana nilimuoa mama ake mwaka 2001 kipindi iko dogo ana miaka 3 mm nilikuwa na miaka 18 ndo nimemuoa mama ake mana niliajiriwa serikalini nikiwa na umri wa miaka 16,sasa huyu dogo mshahara wake wa kwanza akataka nipa mimi na mama ake akawa ataki mpa baba ake alikuwa anamchukia sana baba ake nikamwambia mshahara wako wa kwanza mpe mama ako mzazi na baba ako mzazi.Nyie mnataka kumsukumia mwenzenu kwenye umasikini chronic...eti oa yatajisort... Usioe kama hujajipanga mkuu
Muulize ujana wake alikula na nani,?
Oa ukipenda usilazimishwe
Noted 😁Ili jibu zuri sana mfano mm nina watoto 6 wife nilimkuta na mtoto mmoja jumla tunao 7 mm nafanya kazi wizara ya ulinzi mtoto wa mke wangu nikamuingiza nae kwenye kwenye kazi hii hii nayo fanya mimi uyu dogo now ni private juzi tuu hapa ndo ametoka maliza mafunzo yake ya rts apo kiangaiko now yupo 9* anafanya level 3 sasa huyu dogo my step son nampenda sana kwanza ana heshima na ananisikiliza mno mana mm ndo nimemlea tokea akiwa na miaka mi 3 mana nilimuoa mama ake mwaka 2001 kipindi iko dogo ana miaka 3 mm nilikuwa na miaka 18 ndo nimemuoa mama ake mana niliajiriwa serikalini nikiwa na umri wa miaka 16,sasa huyu dogo mshahara wake wa kwanza akataka nipa mimi na mama ake akawa ataki mpa baba ake alikuwa anamchukia sana baba ake nikamwambia mshahara wako wa kwanza mpe mama ako mzazi na baba ako mzazi.
Akaniambia ww ndo baba angu nikamwambia sio mzazi baba ako mzazi yupo mkumbuke hata kama ajakulea hata kama alikutelekeza ila mpende ulisilipize ubaya wala usimuwekee chuki ni baba ako yule mpende tuu ww iyo laki 7 na 90 nusu mpe mama nusu mpe baba mzazi dogo akanishangaa sana lkn alimpa baba ake na nikamwambia umtunzee mzee wako yule ni baba ako na kweli anamtunza ila nilimpa ushauri mmoja mkubwa nikamwambia ucje ukawai kuoa oa ukifikisha miaka 30 mana now ana miaka 23 mimi niliwai kuoa kwa sababu nilikuwa na kazi nzuri pia nilikuwa nishajipanga vzr ndomana nikaoa japo ndugu zangu waliongea sana nimeoa mwanamke ana mtoto lkn sikujali nikaoa nashukuru Mungu tokea nimuoe mke wangu atujawai sumbua watu kwenye ishu sijui za kusuruhishana ndoa cjui nn cjuii nn mm naweza kusafiri kikazi mpaka miezi 6 crudi home ila nakuta hm mambo yako sawa tuu kwaiyo kijana usioe kama unajipanga utajuta tena utajingiza kwenye umasikini,ndoa ni furaha ndoa ni upendo ndoa ni pepo ya duniani jipange vzr ndoa uingie utaona utamu wake ila ukiishi kwa mihemko ya mwanamke ukishi kwa kupelekeshwa kwa hisia bila ya kutumia akili aisee utajuta sana kuingia kwenye ndoa
Kwako mtoa mada Mwambie mpenzi wako akusubiri mpaka mambo yako yatakapo kaa sawa kama awezi acha aolewe na mtu mwingine.