Wewe kama huna mapenzi na huyo binadamu ni vyema ukamuweka wazi, ili wagombea wengine wenye uwezo wa kumpigia simu wachukue Jimbo. Punguza ubinafsi mapenzi ni ya pande zote.Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe.
Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana amekuwa hivi, nikaamua kuachana naye lakini akagoma kuachana tena akasema wala hamna anayempigia simu iwe mchana au usiku ila anajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu yeye.
Sasa nimeshindwa kujua anataka nini maana nimemwambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina muda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hataki hiyo option ya kuachana anasema anataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau?
Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe.
Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana amekuwa hivi, nikaamua kuachana naye lakini akagoma kuachana tena akasema wala hamna anayempigia simu iwe mchana au usiku ila anajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu yeye.
Sasa nimeshindwa kujua anataka nini maana nimemwambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina muda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hataki hiyo option ya kuachana anasema anataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau?
Level of maturityukisema hao siyo wanaume ni wavulana basi ueleze pia ni kwa misingi gani hawa uwaite wanaume na wale uwaite wavulana
Sifa za kijinga hizi na haujitambui dogoSio mchepuko wala hajaolewa. Sema kama mwanaume mlafi sina manzi mmoja.
Huyu manzi nilimsotea sana siku hizi sijui kaingiliwa na nini, anapiga sana na text juu plus lawama, mapenzi kuna muda ni ufala sana, anaekupenda humpendi, unaempenda akupendi yani taafrani.Ufala wa mahusiano ni kutamani mtu atimize wishful zako....ndo maana mi nawaangaliaga tu mnavoteseka
You hoes you really make life easier for us while we still searching for that high value and femine womenHahaha you ain't special either bruh, yani wanawake wa kileo mnavyowachukulia ndivyo nao wanavyowachukulia hivyo hivyo they got neither love nor respect for you cause you got nothing to offer to them
Kama unampenda kweli, mtafteHello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe.
Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana amekuwa hivi, nikaamua kuachana naye lakini akagoma kuachana tena akasema wala hamna anayempigia simu iwe mchana au usiku ila anajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu yeye.
Sasa nimeshindwa kujua anataka nini maana nimemwambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina muda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hataki hiyo option ya kuachana anasema anataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau?
Ni wanaume wajinga tu ndio huwasamehe wanawake wasaliti katika visa vingi mwanamke msaliti anaachwa na talaka juu kama ameolewaby the way siku hizi mbona hata wake za watu wengi wanachepuka sana tu na waume zao wakijua wanawasamehe maisha yanaendelea wewe naona bado upo enzi za bibi zetu ambazo wanawake walikuwa wanaogopa kudharauliwa na jamii hatupo tena huko
Ndio mnavyojifariji mkishaona imeshindikana kupata waume wa kuwaoa.by the way inaonekana hujui kusoma alama za nyakati siku hizi kuwa single mother imekuwa fashion na wanawake wala hawajali tena ndio kwanza wale wa "natafuta wa kunizalisha nitalea mwenyewe" wanazidi kuongezeka na huko tunakoelekea ndio kabisa,
Mzee wa kupambania unachosahau ni kwamba katika jamii yetu hasa sisi watanzania hao wanaume wajinga ndio majority kwahiyo wala usishangae.Ni wanaume wajinga tu ndio huwasamehe wanawake wasaliti katika visa vingi mwanamke msaliti anaachwa na talaka juu kama ameolewa
Hayo mapenzi ya kweli yatoke wapi usawa huu?Kama unampenda kweli, mtafte
Japo mapenzi yana nafasi yake lkn kuna mda yanakua kero tupu kama huyo ashajipa hadhi ya kutafutwa...Sasa imagine we Ndo ungetuma hyo sms ya juu unafkiri angejibu nn😁😁tegemea kuambiwa mambo ya bando, Kodi sijui twende kilioniHuyu manzi nilimsotea sana siku hizi sijui kaingiliwa na nini, anapiga sana na text juu plus lawama, mapenzi kuna muda ni ufala sana, anaekupenda humpendi, unaempenda akupendi yani taafrani.
View attachment 2934670
Ka wewe 🤣Ka binti kiziwi🤣🤣🤣
Nowadays streets are full of golddiggers.Seems she had a failed relationship so she fails to replace you, she ain't worthy to bring her back. Let her learn the hard way
Nipe Namba yake nimpigie alafu nitakwambia anataka nini, unakaa kizembe mtoto anataka Dudu we unamchekea nenda kampige Dudu acha ufala
If you remove that pussy from you, what else can you offer in your relationship?
Level of maturity
You hoes you really make life easier for us while we still searching for that high value and femine women
Without hoes today, a lot of men would have entered into a marriage they ain't ready for all just because of sex
May the devil continue to replenish your strengths
Ni wanaume wajinga tu ndio huwasamehe wanawake wasaliti katika visa vingi mwanamke msaliti anaachwa na talaka juu kama ameolewa
Ndio mnavyojifariji mkishaona imeshindikana kupata waume wa kuwaoa.
Ndoa mnazutafuta kwa tochi
Ikitokea anayesema hivyo akapata ZALI la kuolewa kwenye harusi anaruka ruka kama ndama na nyimbo za vijembee kibao
Ndo unajua kumbee alikuwa anaitaka[emoji23]
Anyway tembelea love connect uone single maza wanavyotafuta waume kmmmk
What kind of relationship are you talking about and apart from that pussy what else do you want a woman to offer to you, i have already said that to men that pussy is everything, by the way what do men offer in a relationship
Ndio ufafanue sasa hiyo level of maturity inahusianaje na jinsi mwanaume anavyomtreat mwanamke na ni kwa misingi gani
Does calling me a hoe make you feel better or something don't you have any other way of laying your lame arguments without using ad hominem attacks, you don't know me son i can never be a hoe to such asinine and obscene men like you, high value women my foot if there were really high value women out there then there wouldn't be men going around insulting and cursing married women everyday
Kama hao wanaume ni wajinga basi hata wanawake wanaosamehe waume zao wasaliti nao ni wajinga vile vile, kama kuna wanaume wajinga basi mkae mkijua hata wanawake wajinga wapo pia, wanawake wenye akili huwa hawahangaiki na wanaume wapumbavu wasiojielewa kama wewe
Yani unaniambia nitembelee love connect ya jf ambako watu wanatumia id fake na mizaha mingi kiasi kwamba hata dume zima na midevu yake linaweza likajifanya mwanamke na kuanzisha uzi kuwa linatafuta mume nigga you ain't serious, pita mitandao kama instagram uone mabinti wadogo early 20s wanaosema wao wanataka kuzalishwa tu walee wenyewe hawataki kuolewa halafu ninyi mnajifariji kwamba eti wanawake wakishakuwa masingle mother wakikosa ndoa ndio wanajifanha hawataki ndoa, kwa taarifa yako hata wanaume wapo wanaotafuta ndoa kama wanawake tu kwani wewe huko love connect huwa unaona nyuzi za wanawake tu huoni za wanaume wanaotafuta wake na ukisema hao wanaume ni wajinga basi hata wanawake wanaolilia ndoa nao ni wajinga vile vile