Sema tu kuwa humpendi mwenzako.Hello puntas, nina kamanzi flani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi kapigia kama hakajanicheki, katume sms au kapige kabip ndio nikapigie, for almost 2 years, sasa ghafla kanalalamika mbona sikatafuti mpaka kaanze kenyewe. kamenuna kwa sasa hakanitafuti mpaka nikaanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana kamekuwa hivi, nikaamua kuachana nako lakini kakagoma kuachana tena kakasema wala hamna anaekapigia simu iwe mchana au usiku ila kanajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu kenyewe. Sasa nimeshindwa kujua kanataka nini maana nimekaambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina mda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hakataki hiyo option ya kuachana kanasema kanataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau.
Kuna baadhi ya wanaume tunapenda space sio kila muda hey heyHello puntas, nina kamanzi flani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi kapigia kama hakajanicheki, katume sms au kapige kabip ndio nikapigie, for almost 2 years, sasa ghafla kanalalamika mbona sikatafuti mpaka kaanze kenyewe. kamenuna kwa sasa hakanitafuti mpaka nikaanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana kamekuwa hivi, nikaamua kuachana nako lakini kakagoma kuachana tena kakasema wala hamna anaekapigia simu iwe mchana au usiku ila kanajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu kenyewe. Sasa nimeshindwa kujua kanataka nini maana nimekaambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina mda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hakataki hiyo option ya kuachana kanasema kanataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau.
Kuna baadhi ya wanaume tunapenda space sio kila muda hey hey
Sio hawaelewi, sema haelewi. Kila mwanamke ana love language yake.Sure, tatizo hawaelewi, ninae mmoja namkubali sana, nikiona simu yake najua ana upwiru nahitajika uwanjani. La ana shida na pesa. kwa mwezi tunaongea haizidi mara 4 na namkubali sana kwa staili hiyo tu.
Una miaka mingapi?Hello puntas, nina manzi fuluani kama miaka 2 sasa, kipindi chote sijawahi mpigia kama hajanicheki, atume sms au apige, abip ndio nimpigie, for almost 2 years, sasa ghafla analalamika mbona simtafuti mpaka aanze mwenyewe.
Amenuna kwa sasa hanitafuti mpaka nimuanze, nikaona labda kuna mlamba lips anapiga simu kutwa mara 10 ndio maana amekuwa hivi, nikaamua kuachana naye lakini akagoma kuachana tena akasema wala hamna anayempigia simu iwe mchana au usiku ila anajiskia vibaya tu mie sijali kuhusu yeye.
Sasa nimeshindwa kujua anataka nini maana nimemwambia mie simu kwangu ni kiofisi zaidi sina muda wa stori hivyo sitoweza kukaa napiga piga simu, kama vipi tuachane kila mtu afanye mambo yake lakini hataki hiyo option ya kuachana anasema anataka nijirekebishe. Hapo najirekebisha nini wadau?
Ni mrefu mithili ya Zai wa Manara, nam refer kama ka kwa sababu huwa natumia ka mara nyingi napoongea nae. mfano, kababe leo tukale kanyama ka mbuzi Moyo Kitchen, au twende PAPA ROTI kuna ka kuku ka kuoka.And kwanini unamrefer huyo dada kama “ka”, ni mdogo au dharau zako tu na kujiinua.
mimi nikashaongea zaidi ya mara 1 ajue anapokosea na habadiliki bora nijitoe tu maana hamna mtu anayeweza kuwa bize kwa mtu anayempenda kila sikuWa kwangu anaweza kukaa hata wiki hajanitafuta na fresh tu,
Nataka nimtafutie mwenzake amsaidie kazi!
Ohhhh okay ok.Ni mrefu mithili ya Zai wa Manara, nam refer kama ka kwa sababu huwa natumia ka mara nyingi napoongea nae. mfano, kababe leo tukale kanyama ka mbuzi Moyo Kitchen, au twende PAPA ROTI kuna ka kuku ka kuoka.