umeelewekaMforwadie huu ujumbe kabisa huyo mwanamama
Nafikiri utamsaidia zaidi katika harakati za mabadiliko yake
Halafu hapo kwenye private ni privacy
nishamueleza mapema sana ila machinoo sanaMchane live usije bila taarifa
Kati ya vitu ambavyo siwezi Ni kukaa na kitu moyoni ukizingua nakuchana hapohapo live hii kitu imenifanya nibaki na watu wachache sahihi maishani.
Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo we unatakaje sasa ?nishamueleza mapema sana ila machinoo sana
ukweli mi si mtu wa mboga mboga sana..mboga yangu ni yeye tuu ila sometimes napenda kukaa tuu mwenyewe kimyakimyaUlikosea Sana kumwambia mwanamke hivyo
Sasa anakuja ili afumanie ..
Ili asije tena weka mwanamke mwingine akikute anachotaka yaishe
mnyang'anye funguo..au badili kitasaPoleni na majukumu.
Kweli katika mahusiano huwa napenda mipaka, huwa niko straight lakini wapenzi wetu kibongo bongo wanapenda kufosi mambo sana.
Huyu mwanamama ni msomi na anajielewa nilimuona amestaarabika sana lakini haishi tabia ya kunishtukiza geto!!
Serious sipendi mtu yeyote hata awe mama angu kuja kwangu bila taarifa! Simu zina kazi gani kama wewe unakuja tuu OUT OF THE BLUE.
Privacy ni kitu muhimu sana lakini wengine hawataki kuheshimu privacy za wengine...ila wewe mdada kweli nakupenda lakini endelea na mazoea ya kidandara kuja geto bila taarifa utachokuta usijutie.