Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,078
- 92,994
Kuna mmoja Jana kanambia anamimba yamtu mwingine kutaka kujua jinsi gan nitafanya ,,mwenyewe akili zangu nazijua ,,nikamjibu " Sawa Zaa tu "" alafu nikakaa kimya ,,, toka Jana usiku anamsumbua mama yangu eti amuombe msamaha ..nasina tena mpango !!!