Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Inasikitisha sana
Mkuu shida ni demu wako kujimwambafy au shida wewe kukataliwa hapo mtaani?Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, anajimwambafai kwa wenzake, anaringa kuwa na mimi, sasa changamoto inayokuja kila nikimtokea demu hapa mtaani anasema we c unapendwa, endelea kupendwa... Yaani wanaona wivu na wananitolea nje.
Sawa kabisa! Acha uzinzi!!!Wakuu kama kichwa kinavyosomeka, anajimwambafai kwa wenzake, anaringa kuwa na mimi, sasa changamoto inayokuja kila nikimtokea demu hapa mtaani anasema we c unapendwa, endelea kupendwa... Yaani wanaona wivu na wananitolea nje.
NakaziaMkuu shida ni demu wako kujimwambafy au shida wewe kukataliwa hapo mtaani?