Undugu ni kufaana.
Inawezekana ikawa kiendacho kwa mganga hakirudi.Lol! Huu undugu wa kushare mpaka dushe utakuwa undugu wa kisasa, nadhani unakumbuka wale twins wa Australia wanao share dushe. Hivyo hapajaharibika kitu ila uwe tayari kumpisha mwenye mali zake.
Kama mambo yote anayofanya binadamu yangekuwa yanawekwa hadharani kuna watu hata kuwatazama ungeshindwa.Shemeji shemeji huku wanachepuka kivyao vyao.
Inawezekana ikawa kiendacho kwa mganga hakirudi.
Kama mambo yote anayofanya binadamu yangekuwa yanawekwa hadharani kuna watu hata kuwatazama ungeshindwa.
At your own risk, the decision is yours.Sasa hapo ni mtafaruku nguo kuchanika, mwenye mali zake katinga MUJINI na mliwazaji kang'ang'ana hataki kuachia utamu. Hapo sokomoko la mbele kwa mbele mpaka apatikane bingwa.
At your own risk, the decision is yours.
You can put your life at risk for real, no matter how careful you can try to be. Ukiwa na afya njema kwenye maisha shukuru, si ujanja.Of course the decision is yours, but when you're in L❤VE some times it is very difficult to make "the right decisions"
kweleakwelea nizae? mi sina akili za Zari unazaa ukinunuliwa pampas unaona ndo matunzo. nisijeishia kuwa single parent bureee
Shoga yangu usiwe mkali ni mfano tu hata mie nampenda bosslady wetu wote. Hajatukanwa hivyooo. mzurimieHauna aibu mwanamke wewe umri unaenda eti unamsema Zari nini??? Na litakujoa la kujuta unajitunza mumeo huyo..wewe ndio balaaa mvivu...nenda kajitegemeee tafuta zako za mume wa mtu zitakutokea puanim wivu umekujaaaa unamtaja Zari... Ungekuwa unapendwa hata sumni ya mwisho angekuambia ufatane nae. Kaa chini mvivu weye, na utalisoma jiji ulipo vizuri.. na kudakwa na mkewe.. umeona Zari kaiba mume wa mtu. Saka,zako eti siju mbili kwa wiki hizo tano anakochepukia kwingine ndio anapashikilia vizuri. Akikuita jua anataka unakompaga kwa tamaa zako kauze hata magazeti.. halafu usianze kujifanya unazo hauna..
Mkuu kumbe nawe upo vizuri..teh teh!Sasa hapo ni mtafaruku nguo kuchanika, mwenye mali zake katinga MUJINI na mliwazaji kang'ang'ana hataki kuachia utamu. Hapo sokomoko la mbele kwa mbele mpaka apatikane bingwa.
haloooooooo! punguza wivu bibie kizuri kuls na nduguyo, wala usujari mama hakuna mwanamme was peke yako maana na wewe hakukuta bikra tuvumilianeHee asijekua mume wangu uyo maana yuko kny process za mwisho za uhamisho wa kwenda dodoma