Mpenzi wangu anahamia Dodoma

Ahsante mpenzi wangu, huto tu miezi tutatu ntavumilia tu mama usikonde. 🙂🙂🙂
 
mmm....yaan mume wa mtu anakuuma hivyo...wewe ulipomtwaa hukujua unamuumiza mkewe? mwache akatwaliwe na wengine na wewe tafuta mzinzi mwenzako mwingine...usijisumbue kujitunza kinafiki
 
Umemzalia au unajichekelesha tu?
 
mmm....yaan mume wa mtu anakuuma hivyo...wewe ulipomtwaa hukujua unamuumiza mkewe? mwache akatwaliwe na wengine na wewe tafuta mzinzi mwenzako mwingine...usijisumbue kujitunza kinafiki
Maneno yako mazito na yanachomaaaa!!!
 
Naona Salo umemtokomeza baharini sista kwa maneno ya kishujaa. HAPA KAZI TU
 
nashukuru umeelewa lengo langu, mjinga mjinga kama wewe

Wakati wenzi* wanasoma ukakimbia umande halafu unajiita mwerevu. Anayekusaidia gramma wamwita mjinga!! Kweli wajinga ndio waliwao.

... #elimubure #kuulizasiujinga #elimuyawatuwazima #umande #tusioneaibu

Beach (ufukwe wa bahari).
 
Njo huku nimejiunga kifulushi cha mwezi niku2mue kabla jamaa hajaludi
 
Mtoa mada ni bibi wa miaka 56 anayasema hayo, Je angekuwa binti wa miaka 20 angesemaje??
 
Wakati wenzi* wanasoma ukakimbia umande halafu unajiita mwerevu. Anayekusaidia gramma wamwita mjinga!! Kweli wajinga ndio waliwao.

... #elimubure #kuulizasiujinga #elimuyawatuwazima #umande #tusioneaibu

Beach (ufukwe wa bahari).
Hahaha bado hujamuelewa Peter soma tena ,kaitumia hiyo Beach makusudi kumwepushia Ban
 
Kwi kwi kwi kwi lol! Umliwaze kwa miezi mitatu mwenye mali zake akija ushachonga mzinga hutaki kushare.

Nipe contact zake, hata mimi ninahamia Dodoma nitakusaidia kumliwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…