Mpendwa wangu
Sista, una uhakika jamaa anahamia Dodoma kweli!! Are you not smelling any rat?? Dizaini jamaa labda kaja na single ya kuhamia Dom kwasababu ndio wimbo unao hit sasa hivi ili akupige chini kiutu uzima bila maumivu. Tena kakuandaa kabisa kuwa miezi mitatu ya mwanzo itakuwa bila bila akiamini kuwa muda huo unatosha wewe kuzoea kuwa mbali naye...Huyo atakuachia vumbi tu huku nyuma.
Sikutishi bibie ila nashauri uje utupe mrejesho hapa baada ya hiyo miezi 3. Unaweza kuja kunipa head up huko pm pia. Ha ha haah.