Mpenzi wangu ana wivu sana

may be,coz ananiambiaga hajawai enjoy akiwa na hao wengne kabla ya me
Anaogopa kukwambia kuwa we ndo wakwanza. Anahisi utamwona f.a.la. Nenda naye taratibu mvumilie kama unampenda hicho tu ndo kinachomata, mengine yote funga vioo.
 
Asee inamajina tele dadeq,ngoja na mm nikapige 9???

kajaribu mkuu,ila sidhani kama utaweza pia mpenzi wako anatakiwa awe mvumilivu usije ukaishia 2 tu ukalala usingizi wa pono
 
Anaogopa kukwambia kuwa we ndo wakwanza. Anahisi utamwona f.a.la. Nenda naye taratibu mvumilie kama unampenda hicho tu ndo kinachomata, mengine yote funga vioo.

inawezekana,lakini mtu mwingine alikuanae kabla sijamuaproach but akamwacha coz of me
 
niko nae mbali huyo mpenzi wang
Sasa huoni akikufuma ndio utamkosa? kwakuwa unampenda anza kuchana na hao wengine hata kama mko mbali, ukikaa kwa muda bila nono hutadhurika, ukisikia na yeye ana mwingine kwa sababu mko mbali natumaini hutakubali, nae ana hisia, anaweza kuja kukufuma.
 

bb7 ushauri huu hapa
 
Mkuu kuna aina tofauti za wivu.
Lakini toto wako ana ule wivu unaitwa sexual jealousy.

Sexuual jealousy imegawanywa mara 3.
1. Normal jealousy- huu ni ule wivu wa kawaida ambao ni a response to a real threat.

2. Delusional jealousy-
Huu unaonekana na psychotic pple only.
Hawa urespond to totally unreal clues.
Kwa mfano anaweza kusikia sauti kutoka kwa runinga ikimwambia mpenzi wako anakusaliti!

3. Projected jealousy-
Mwanamke anataka atongozwe na wanaume wengine, lakini hali hii haikubali. Kwa hivyo nafsi yake inampeleka kuwaza na kushuku kuwa chali yake anachepuka.

Only her can tell the kind of jealousy she's experiencing.
 

Khe unamshangaa nn wakati una michepuko??
 
Tena huyo hana wivu kikomo mimi niko radhi kumutoa mtu roho sipend kuskia naibiwa huwa napigana mpaka hawala anahama mtaa chezea wivu ww asiyejua kula vitamu ndo hana wivu
 
Anatafuta akufumanie ili na yeye apate sababu ya kulipiza.
 
Acha izo games kaka hakuna anaependa kuibiwa.ukiskia nae anacheat utaskiaje..anyway huo wivu wake sion kama ni shida yuko hivo coz ashaanza ku sense anaibiwa...cha msing acha kucheat matendo yako na ya m convice kama ni yeye pekeake kweli wivu utaisha wote.
 
jaribu kumzingua uoneshe una mtu maana haiwezekani kukaba hadi penalti kutaka kujua kama una mwingine
 
Watu km wewe baada ya mtoso ndo wa kwanza kuja kulialia humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…