bb7
Member
- Sep 9, 2015
- 87
- 3
Habari wakuu:
Katika kipindi cha mahusiano nilichopitia sijawah kuwa na msichana mwenye wivu kama huyo wa sasa.Tumekuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo lakini ana wivu wa kupitiliza.
Anatumiaga namba za marafiki zake kunipima kama nina mpenzi mwingine lakini huwa nagundua ni yey ananijaribu so namjibu as yupo yeye tu.
Pia anavuka mipaka hadi anamuliza rafiki yangu wa karibu kama nina mpenzi mwingine hujibiwa ni yeye tu japo ninao wengine kama wawili wa kuzugia coz ye anaonyesha ana future na mimi.
Je huo ni upendo wa dhati au?maana kitandani nampaga doze ya kueleweka hadi 9 siku zingine toka asubuhu hadi jioni.