Mpenzi wangu ana mimba ya ex wake

Mpenzi wangu ana mimba ya ex wake

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,385
Reaction score
2,847
Wakuu
Hivi majuzi nilipata kuonana na msichana Fulani ambaye tulizoeana baada ya muda mfupi na hadi tukafikia hatua ya kuwa wapenzi. Na kwa kweli kwa Siku za mwanzo tulikuwa tunapendana sana labda kwa kuwa ni mwanzo. Lakini Jana ameniambia kuwa ana mimba na ni mimba ya MTU aliyekuwa naye kabla. Ameniomba tuachane kwa kuwa anahisi hanifai tens...hadi sasa nipo dilemma...
 
Endelea naye tu Mkuu kwa sababu unampenda sana. Mwambie utalea mimba na mtoto pia na kama atapata ujauzito mwingine toka kwa ex wake wewe huna tatizo utalea tu.

Wakuu
Hivi majuzi nilipata kuonana na msichana Fulani ambaye tulizoeana baada ya muda mfupi na hadi tukafikia hatua ya kuwa wapenzi. Na kwa kweli kwa Siku za mwanzo tulikuwa tunapendana sana labda kwa kuwa ni mwanzo. Lakini Jana ameniambia kuwa ana mimba na ni mimba ya MTU aliyekuwa naye kabla. Ameniomba tuachane kwa kuwa anahisi hanifai tens...hadi sasa nipo dilemma...
 
Duuh! Pole sana
Upo dilema kivipi wakati ishu ipo clear tu!
 
uyu bila shaka ni mwanaume wa Dar....hapa namaanisha kazaliwa muhimbili,kakulia tegeta,kasoma tegeta primary,secondary makongo na chuo kikuu posible tumaini....nna uhakika aliemtia mimba ni kidume cha mkoa kinachoishi dar kwa sasa....wewe endelea na akili iyo ya matope tuje tukukamue iyo jaza ujazwe.....*****
 
Wewe upo Tanzania uko dilemma wapo wale machizi wanaookota makopo, lakini kama umesoma hata viduvu hauitaji kujiuliza hata swali moja kua umuache ama laa zaidi ya kusepa mapema
 
Back
Top Bottom