Aaaah kumbe wana viburi eeeeh!!!!
Mwanamke mwenye akili timamu huhitaji kumueleza umuhimu na sababu ya kutowasiliana na X,sasa huyu wako ulimlazimisha kabisa lakini bado hakuelewa.Mimi shemeji yako ni Mnyakyusa ila wa Tukuyu,wanyakyusa wa Kyela ndio inasemekana wana matatizo na viburi.Huyu wangu yeye mwenyewe kwa nafsi yake na upeo wake aliamua kuacha mawasiliano na rafiki zake wote wa kiume(hapa nisisitize kuwa ni marafiki zake sio X zake which means angekuwa X ndio kabisaaa wala asingekuwa hata na hamu ya kuwasiliana naye) baada ya kuanza naye uhusiano rasmi.
Sasa hapo amua mwenyewe kusuka au kunyoa
Wanyakyusa wana misimamo mikali hawayumbishwi na mtu yeyote katika jambo analolisimamia kama anaona lina maslahi kwake ama kwa Taifa.
Kwa hilo la X wake ni siri yenu inawezekana kuna mambo yako umeyaficha hapa yaliyomfanya mpaka amkumbuke. May be unamhandle vibaya.
Mmmnnnhhhh
mhm wee nae bana ebu acha kulalamika. huyo hafai ila usimuache...endelea kumgegeda tuu huku unatafuta wa kukufaa wewe.
Kwahiyo kama mtu ana kuhandle vibaya suluhisho ni kwenda kwa X? Kuwa na msimamo ni jambo jema ila kuwa na msimamo kwenye vitu vya kipuuzi ni upuuzi mara mbili.