toriyama
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 1,566
- 3,234
ahahah hili jibu zuri sana inakubidi ucheke tu
ahahah hili jibu zuri sana inakubidi ucheke tu
Nataka na mimi niuze aiseeAhaa hapo unaharbu wewe unatakiwa kuwa mteja wangu ukiniona unaiita dogo muza gengeee
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ahahah hili jibu zuri sana inakubidi ucheke tu
Sasa utamuuzia nan? Mumeo atakubali?
Kama atakuwa mzima.Jiandae kutuandikia uzi mwingine humu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Atakubali tuu[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa utamuuzia nan? Mumeo atakubali?
Itabidi avumilie maisha yenyewe yameshakuwa magumuRoho ya uvumlivu anayo? Ukiqotiwa tu anawaka....
Ha ha ha ha mpka wewe maisha magumu? But sio.mbaya kujiongeza tukutane gengeni
Kwani mimi umesikia mtoto wa baba Jesca? Sawa ngoja tulale tusichelewa kufunguaHa ha ha ha mpka wewe maisha magumu? But sio.mbaya kujiongeza tukutane gengeni
Kwani mimi umesikia mtoto wa baba Jesca? Sawa ngoja tulale tusichelewa kufungua
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na akili weye.Atakuchinja ukilala.Jaman.
Hapa nimestaajabu kidogo.
Mwanamke amenifuma nikiwa na mwanamke mwingine live. Na nilikua natoka Kum mbato gest.
Daah.
Cha ajabu tangu siku hiyo hakuniuliza chochote , na ameongeza heshima Sana kwangu.
Je?
Kuna amani kweli hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe no YAKE MKUU,,,nikuombee NSAMAHA,,,YOUR DAYS ARE COUNTED mkuu...siku yeyote UNAUMIZWA,,Jaman.
Hapa nimestaajabu kidogo.
Mwanamke amenifuma nikiwa na mwanamke mwingine live. Na nilikua natoka Kum mbato gest.
Daah.
Cha ajabu tangu siku hiyo hakuniuliza chochote , na ameongeza heshima Sana kwangu.
Je?
Kuna amani kweli hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado twatest mitambo mkuu.Ukikataliwa na mwanamke uliyemtongoza fanya hivi - JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishaoa au bado unatest mitambo
"Mbwa muangalia chini ndiye mbwa mkali",kuna jambo anakuandalia kubwa sana lisipikupeleka kabulini bhas mungu anakupenda sana na huyo mke utazeeka nae.Jaman.