Mpenzi wangu amebadilika ghafla

UMASKINI hakuna kinginee..!! Huna helaa kakaa na mazingira demu aliyokuta unaishi ni duni so kaona hapaa hakuna jipyaaaa si unajua pesa mbelee hawa viumbeee..
Bora useme wewe, eti kumkaza vizuri athubuuuutuuuu

Mwanamke hata akukute hanithi, kama una shekeli atajifanya we ndo unapeleka moto dunia hakuna
 
Mmmmh


Haki umemtia moyo mkaka wa watu
 
Acha tuu.. Hela ndo kila kituu haya maishaa...!! Kaza unavyowezaa huna helaa wee falaa tuu
Ndo wanaume wengi eti wanaamini hivo

Eti umpelekee moto mpaka azimie ndo hakuachi

Wanawake maboroo sio kivile kama wanaume, wanawake wanapenda mwanaume mwenye hela ili kumaliza shida zao, eg kupiga pamba, kupendeza in a whole matter ni mwendo wa kushindana na wenzie, hamna la zaidi ya umahiri dhidi ya mwenzie ( competence)
 
Kuna jambo kakusoma alipokuja kukutembelea akaona kumbe alikua anapotea
 
Usisahau kuleta mrejesho kwa maushauri iliopata ili nawengine wajifunze.sawa dogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…