Mpenzi wangu amebadilika ghafla

Naomba niwe tofauti na wachangiaji walio wengi.

1. Anakupenda sana.
2. Ana wivu sana kama mimi.
3. Kuna mambo madogo madogo ameyakuta hapo kwako yakamtia wivu akahisi uko na mtu mwingingine japo wewe unaweza kuyaona ya kawaida.
4. Hukuonyesha kumbembeleza, kumpetipeti badala yake ukanunua minyama, mikuku n.k[emoji3]
5. Swali: Alivyokuja ulimpa muda wako wa kutosha au ulikuwa busy na movies, kuangalia mpira n.k?

NB: Wanawake wakikosa kubembelezwa, show ikiwa kama ya Yanga msimu uliopita, usipompa attention akija kwako wanakuwaga na HASIRA, BITTER.

Pia ULISIKIA WAPI MAPENZI YASIYO NA MISUKOSUKO KIDOGO?
 
Alipo kuja kukutembelea ulifanya nae mapenzi? Kama ndio basi ulimuonea huruma kama ndugu yako,Pili kaona una maisha ya kawaida kakukimbia huyo
 
Unaeza kuwa na mpenzi Mwalimu ila jua mapenzi hayana Shule mkuu.
 
Cha kufanya na wewe mpotezee lkn usimtangazie kumuacha Bali we move on, usimpigie usimtext na ukiweza namba yake futa maana anaonekana kapata mwenye fedha zaidi yako na kama tujuavyo kwamba wanawake Wa sasa wanaamini mwanaume mwenye ela zaidi ndio husband material. Kwahyo asikuumize just move on.
 
Vp uwezo wako wa kifedha mkuu

MMaana kwa ninavyofahamu mimi, kwa miaka ya sasa wanawake sio wote ila asilimia kubwa wanaangalia vitu viwili

1.Uwezo wa kifedha
2.Uwezo wa kuhimili show kitandani
Hilo la pili halina nguvu saaana kama la kwanza

NB: mi naangalia upendo tu[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Halijala hili, limezubaa hivyo[emoji57][emoji57]
 
Huu ndo ushauri sasa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…