Mpenzi wangu amebadilika ghafla

Kama hataki ni kuwa hataki. Yaishie hapo, usijipe mashinikizo yasiyo na msingi.
 
Bro, pole sana. Alikuja kwako kukufanyia vipimo aone kama unatosha ama lah! Manzi wengi hua wanakuja mageton kua-asses financial status za wanaume wao, kama alivofanya huyo. Hakuna mke apo, fanya kukimbia marathon bro
Asante!!

Ni kweli usemayo ndugu!!
 
Huna hela mkuu..waachie wenye pesa zao wafaidi tu.
 
Wanawake kubadilika ni asili yao. Cha ajabu hapo ni hiyo " ghafla".
 
Hahahaha, kijana mapenzi ya sasa ni shida cha msingi ww tulia endelea na mishe zako , utapata tu demu..[emoji23]
 
Hata sisi wanaccm hatuamini jinsi mwenyekiti wetu fool alivyobadilika.
 
Kuna mambo mawili hapo.
Je kwanza ulimkaza vizuri!???
La pili akapime ujauzito inaweza kua ana mimba ndo sabab ya kua hivo.
 
Kaesha pata mwingine na wewe tfuta mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…