Mpenzi wangu ameanza tabia ya kuzima simu usiku

Mpenzi wangu ameanza tabia ya kuzima simu usiku

sasa simu ndo mapenzi mkuu... anaweza akaacha simu on mwaka mzima na bado akakusaliti tu... unatakiwa ujiamini na uwe m'bunifu...!!!!
 
Ivi kuachana UA ni rahisi rahisi eeh mbona mi kuachana na MTU naempenda ni exhausting work asee,..
 
Wasichana mnajidai mna vihasira na maamuz ya haraka ya let him go! Kisha mkifika madhabahuni mnaoenda kusikia kauli ya "wale wanaotaka bwana na hawajapata wapite mbele" mnajazanaga km sisimizi!
 
Sasa hapa unamuongelea Yupi yule aliyekuwa hataki muachane au Yule mwanaume wako wa utotoni?

Hawa wanaume wanafanana tofauti Yao ni ndogo sana sasa kwa utaratibu sijui utatembea na wangapi jaman
 
Nimeamua kumwambia ukweli afanye maisha yake maisha hayo ya kuzimiwa simu kipindi tunalala wakati mimi sinaga hiyo tabia wakati majuzi ananiambia kila mtu ashike simu yake ikabidi nistuke na haikuwahi kutokea kuniambia hivyo.

Nimeamua aende asinisumbue nishachoka.
Dah yaani sijui ni coment nini maana sijui unataka ushauri ,maoni,pongezi au unatupa ubuyu..ok karibu usingoni.
 
Sasa kwani akizima simu kunakuwa na tatizo gn...mimi naishi peke yangu na usiku nazima simu...sipendagi usumbufu mimi...kuna siku nimelala,mara saa nane usiku inaingia sms(siku hy niliiacha on)..kucheki ni mama lishe anayetuletea msosi,ameandika "hi" nikaichekiii,sikujibu nikaachana nayo..najiuliza ningekuwa nimeoa,mke wangu angeelewaje..saa nane usiku tunauziana chai??? Lkn huyo dada sina mazoea nae yyt mabaya,zaidi ya kumwambia "lete hiki au hiki"...sasa imagine nina mke na ameona vile ingetokea nini.kuzima simu kuna hepusha mengi
 
Kwa tabia hizi una miaka mingine 10 mbele kabla ya kuolewa.bado unahitaji kuchezewa sana
 
Back
Top Bottom