Mpenzi wangu ameanza tabia ya kuzima simu usiku

nimeamua kumwambia ukweli afanye maisha yake maisha hayo ya kuzimiwa simu kipindi tunalala wakati mimi sinaga hiyo tabia wakati majuzi ananiambia kila mtu ashike simu yake ikabidi nistuke na aikuwahi kutokea kuniambia hivyo.

nimeamua aende asinisumbue nshachoka
Kiutabibu, Siyo vema kulala simu ikiwa on.

Tatizo hujiamini mama. Fanya yako kama ulivyoamua.
 
Nimeamua kumwambia ukweli afanye maisha yake maisha hayo ya kuzimiwa simu kipindi tunalala wakati mimi sinaga hiyo tabia wakati majuzi ananiambia kila mtu ashike simu yake ikabidi nistuke na haikuwahi kutokea kuniambia hivyo.

Nimeamua aende asinisumbue nishachoka.
Umechoka kisa simu yake?
Wewe unalako jambo
 
Back
Top Bottom