Mpenzi wako wamwitaje!!!!!!!!!!

wa kwangu namuita jina lalotaka wakati huo..........naweza kumuita ISUZU kama ndo lisharahisha wakati huo.......lols
 
sie tulikuwa tunauita mkate wa arusha BOFLO...........kwahiyo na mwinziwako boflo pia?
Mkate wa Arusha Ile Ya Sankist Ilikuwa ni Mitamu Balaa nilipoionja first time nikawa naagiza tu Haki yako kumuita Mikate ya Arusha Ukimaanisha ni Mtamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…