Mpenzi wako wa kwanza kabisa yuko wapi?

Dah!
Na wewe Mkuu pambana upate zako heshim iwepo na ujasiri wa kusalimiana naye utakua nao
 
Hii kuonekana mnyonge ni wewe umetengeneza tu ndani ya mindset ila unaeza kuta wala haipo hivyo na anataman siku moja msalimiane..hlf acha uwoga
 
We ni me au ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…