Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,243
- 40,251
Simps hamkosagi excuse.Stop investing in woman?
Je mzee wako asingewekeza kwa mkewe,( familia yake) ungekuwa hapo saa hii ??
Nimejaribu kuwaza tu.
UmetishaSimps hamkosagi excuse.
Wanawake wana wasemaji na watetezi kila kona. Ustawi wa jamii, vyombo vya ulinzi, mamlaka, wanaharakati, sheria, jamii na mifumo yote ya kidunia kote uko mwanamke ndie anapewa kipaumbele, hii ni tofauti na mwanaume ambae akiyatimba hana mkombozi anaishia kuwa laughing stock tu.Wanawake na nyie mtafute Msemaji wenu, Sidhani siku zote mahusiano yanavunjwa na mwanamke tu , Tunazungumzia vipi tunaodate na wanawake kutimiza haja zetu na kisha kuwaacha tukiwa tumewapotezea muda l??
Sawa sawa mr. nice guyKama mtu aliyetoka kwenye ubavu wako amekuwa Lucifer, basi hata wewe utakuwa mkuu wa MaLucifer.
Na mpenzi wako Angekua ndugu yako usingeruhusiwa kumpanda, right.
Unamkuta jamaa anahonga sana unamshtua bro mbona unazidisha. Demu mwenyewe analiwa nje? anakwambia Oya acha wivu, usituingilie....That is My Life, Leave me Alone its my love.Kwamba kawa Lusifa.Tatizo mkishaumizwa ndio mnaanza kupost vi Uzi vya kutia huruma na hisia, vinginevyo ni Wabishi sana kusikia.
Masimp ni ya kutumbukiza kwenye pipa la tindikali, viboko havitoshiWasipokuelewa na hapa, tuwakamate na kuwacharaza viboko.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hiyo ni wewe mimi nadhani uzi umewekwa kwa wale waliojichagulia hiyo jinsia permanently wanaishi nao majumbani mwao.Wanawake na nyie mtafute Msemaji wenu, Sidhani siku zote mahusiano yanavunjwa na mwanamke tu , Tunazungumzia vipi tunaodate na wanawake kutimiza haja zetu na kisha kuwaacha tukiwa tumewapotezea muda l??
Naona penzi limekolea kijana, hao wanaoleta vipost vya huruma kuna wakati nao penzi lao lilikua moto moto pia.Kwamba kawa Lusifa.Tatizo mkishaumizwa ndio mnaanza kupost vi Uzi vya kutia huruma na hisia
Sawa nice guy, uyo mwanamke wako mzuri sio LusifaUnamkuta jamaa anahonga sana unamshtua bro mbona unazidisha. Demu mwenyewe analiwa nje? anakwambia Oya acha wivu, usituingilie....That is My Life, Leave me Alone its my love.
Akishapigwa sasa anakuja kuita Wanawake Zetu wazuri eti ma Lucifer, Lucifer ni yeye mwenyewe aliyeshobokea mapenzi akakosa akili.
Wewe Mkuu ulipigwa na kitu kizito na watu kama nyinyi huwa hamuambiliki mpaka yawakute.Sawa nice guy, uyo mwanamke wako mzuri sio Lusifa