Mpenzi wako huwa anakupokeaje?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,120
Reaction score
62,107
Unapotoka kwenye mihangaiko yako, labda kazini au katika kusaka shughuli mbalimbali za kujipatia kipato, na kurejea nyumbani labda jioni au usiku.

Je, mpenzi wako huwa anakupokeaje, na huduma ipi huwa anakupatia kwanza?
 
Yeye: Hilo vumbi miguuni sasa, hebu futa miguu atanichafulia sebule yangu leo nilishinda nadeki.

Mimi: (kimoyomoyo) Lione kichwa kama andazi.
(Kwa sauti) Sawa nimekuelewa bibie, umeshindaje lakini?
ha ha ha ha inafurahisha sana
 
Namfuata mlangoni hukohuko anakobishia hodi,naanza:
β€œMambo(namtaja jina lake)mkono wa kushoto kwa kiuno chake,mkono wa kulia nampokea mzigo (kama kabeba) nampa pole na kumkaribisha ndani.imeisha hiyoπŸ₯‚
 
ha ha ha ha unaonekana wewe ni mwema kiasi
 
Sijui kama kufanya hivyo kunafanya niwe mwema ama la.lakini hivyo ndivyo nilivyo sikumbuki kama nilishaachaga kufanya hivyo.
ha ha ha baada ya hapo ni nini kinafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…