Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

Mpenzi wako anapokataa kufanya mapenzi unafanyaje?

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,661
Reaction score
12,014
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.

Jamani nimueleweje huyu?

Naombeni ushauri wenu.
 
Anadai Muda Bado Kivipi?? Au Mpaka Muda Gani Ndio Itakua Tayari??
 
Kwani mwanamke mmoja mkuu, tafuta mwingine piga game
 
usimwombe tena kufanya dhambi.... we mwache tu mpaka atakapo ona yupo tayari kufanya dhambi atakuambia
 
Zinaa mbaya!! Kha muoe kabisa if huna plan muache usimharibie bure
 
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.

Jamani nimueleweje huyu?

Naombeni ushauri wenu.

majibu unayo. thread closed
 
Habari wadau,

Naombeni msaada wenu katika hili. Hivi mpenzi wako anapo kataa kushiriki na wewe mapenzi unafanyaje?

Mimi nina mdada huyo tangu anikubali hadi sasa ni miezi 5 lakini kila ninapo muomba game anadai muda bado.

Jamani nimueleweje huyu?

Naombeni ushauri wenu.
Pole....Nadhani limekukosesha usingizi....Tafuta makungwi wa mapenzi wakutoe ushamba, mwanamke haombwi penzi kwani nae ana hisia tena zaidi ya zako....Unachotakiwa kufanya ni kuziamsha hizo hisia na when exited mnajivinjari kwa mapenzi bila shuruti......Samahani darasa hili tunawapa wenye mpango wa kuingia kwenye ndoa.
 
papuchi loading......
subiri muda ukifika itakwambia enter your passperm
 
Back
Top Bottom