Mpenzi wako anakutumia sms hii...! Utamjibuje...!

hyo sms ukitumiwa na ww ni.mtu wa kupaniki unaeza kuanguka na kupoyeza network.Ujumbe kama huo sio wa kutuma ovyo maana madhara yake ni makubwa kutegemeana na aliyeyapokea
 
Niliwahi kumtumia mke wangu na hakuna aliyeweza kuongea nami hadi jioni yake, ambapo mke wangu alizinduka akiwa hospitalini na hivyo watu wakapata akili ya kunitafuta mimi tena....! Nilibaki na swali gumu kuwa je, alizimia kwa kushutushwa na hali niliyonayo au ni maswali yangu yamekuwa magumu kwake...!? Aidha, sipendi kuurudia tena, maana kumbe mtu anaweza akakutangulia wewe...!
usijaribu tena ,unaweza kuua mtu.. mi ukituma ujumbe hivi sitawaza kama uliwahi/ au nimewahi kukusaliti, wazo la kwanza litakuwa mume wangu mpenzi ndio anakufa ss... plz, this is not a goo joke
 
Katika mtihani mgum moja wapo ndio sms kama hio.ee mwenyezi mungu naomba niepushilie mbali maneno hayo nilio yasema kwenye hio sms iliotumwa.yaani nilivyokua naisoma nikama ninatamka mimi wakati ni mtu na mawazo yake ya ajabu ametunga.angalieni bwana na vitu vingine vya kuandika.kifo kinauma sana tena sana usiombe yakukute.samahani lakini.
 
Mpenzi wangu, hali yangu ya kiafya sio nzuri, na hivyo muda wowote huenda nikatangulia na kuwaachia dunia hii; lakini mpenzi wangu kabla mapenzi ya Mwenyezi Mungu hayajatimia, ningeomba uniambie:

  1. Ni kitu gani kizuri nilichowahi kukufanyia katika uhai wangu, ambacho hautakaa usahau.....!
  2. Ni kitu gani kibaya nilichotokea kukufanyia kipindi cha mahusiano yetu, ambacho usingeweza kuisahau, na ningepaswa kupiga magoti unisamehe.....!
  3. Ni neno gani ungependa kuniambia kama neno la kuagana....!
  4. Ni nini unachokijua mwenyewe, ambacho ulinifanyia na sio kizuri, na hivyo ungependa nikusamehe kabla kifo hakijatutenganisha....!

hata hivyo nisha pata mwinginez,na ungependa uzikwe wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom