Mpenzi wako ana mchango gani katika maisha yako?

Mpenzi wako ana mchango gani katika maisha yako?

Kunipiga mizinga ya ela ili nizidi kumpenda, napenda mpenzi mpiga mizinga mpaka basi

sent using using samsung note 8
 
utanifanya nilieeee...... maana huyu jamaa kwa anayonifanyia.... KANITULIZAAA
 
mi bado single wacha nipate exprience kwa wenzangu wanavyonufaika kama wanachama wa CCM
 
Ananitukana kila siku tunapokutana huu ndio mchango wake mkubwa kwangu nampenda sana na sitamuacha!
 
Ana mchango wa kunipa stress maisha mwangu
 
Back
Top Bottom