Mpenzi wako ana mchango gani katika maisha yako?

Mpenzi wako ana mchango gani katika maisha yako?

Yaaani yale makero kero yake tu. Situlii Mara nimechokozwa hili Mara lile, mala nilazimishwe kuoga , Mara ninyang'anywe simu basi tu ilimradi tafrani tu. ...huo ndio mchango wake kwangu mkubwa kuliko yote !
 
Mi kwa "bed"hoi jmn , hapo 2 ndo maana namganda kama ruba,,, "mwanaume mashine bwn"like msaga sumu,, ,vi2ko sasa ananiuwa kabisa yaan,, , lakini xaxa ma2nzo zero, ubize ndo mahali pake,,, lakini nimeridhika mi kwake nyang'anyang'...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissa lee
Hongera sana kwa kupata "mwanaume machine", ila angalia sana. Ngono na pesa vimekuwa rushwa katika mahusiano, anakupa dyudyu ya uhakika wewe huangalii mengine/tabia zingine, ukiingia kwenye ndoa unaanza kulalamika.

BTW, jf tunaandika kiswahili fasaha. Mambo ya "xaxa, vi2ko" inabidi uachane navyo
 
Kwa kipindi kile nipo nae alikuwa na mchango mkubwa ila sasa hivi sipo nae, kuna gap kidogo..naukosa uwepo wake
 
Lissa lee
Hongera sana kwa kupata "mwanaume machine", ila angalia sana. Ngono na pesa vimekuwa rushwa katika mahusiano, anakupa dyudyu ya uhakika wewe huangalii mengine/tabia zingine, ukiingia kwenye ndoa unaanza kulalamika.

BTW, jf tunaandika kiswahili fasaha. Mambo ya "xaxa, vi2ko" inabidi uachane navyo
Hahha nilitaka nikutag kwenye hiyo comment mweeh
 
swali la pili kutoka mwisho siku hizi sidhani kama wapo.

Wapo wapiga mizinga tu
 
Ni mshauri, mlezi, msiri na ni baba wa watoto wangu
 
na kwel mana kuna mahusiano mengne ni shida tupu mtu kujal hajui ela hatoi yupp yupo tu anajua kuandika msg masaa 24 ndo upendo kumbmsg moja tu ya imethibitishwa inamaana kubwa sana
 
Back
Top Bottom