Are you sure?mimi ndio msaliti mkubwa lakini sijawahi kusalitiwa!
haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaAre you sure?
Good for you mkuu.haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
siku hizo niko kwenye mkakati wa kupunguza dhambi sitaki kuongeza nilizonazo ni nyingi hivyo nakuwa mkweli kabisaaaaaGood for you mkuu.
Vizuri. Lakini usijihakikishie kuwa hujawahi kusalitiwa..sema tu hujawahi gundua. Mwenzio nimesalitiwa jana tu hapa nauguza maumivu...halafu sijui hata kwanini naumia..aaaargh!siku hizo niko kwenye mkakati wa kupunguza dhambi sitaki kuongeza nilizonazo ni nyingi hivyo nakuwa mkweli kabisaaaaa
usiumie sana, ukikutwa na tatizo kama hilo angalia kwanza chanzo nini? angalia uwezo wako, mapungufu yako, matishio yapi yanakukabili na hata fursa ulizonazo kwa huyo mtu, pole sana mwaya ni changamoto tu hiyo wala sio tatizoVizuri. Lakini usijihakikishie kuwa hujawahi kusalitiwa..sema tu hujawahi gundua. Mwenzio nimesalitiwa jana tu hapa nauguza maumivu...halafu sijui hata kwanini naumia..aaaargh!
Ninachoumia si yeye kunisaliti..ni kingine lkn kinahusu huo huo usaliti. Poa tu lakini...dawa ya moto ni maji.usiumie sana, ukikutwa na tatizo kama hilo angalia kwanza chanzo nini? angalia uwezo wako, mapungufu yako, matishio yapi yanakukabili na hata fursa ulizonazo kwa huyo mtu, pole sana mwaya ni changamoto tu hiyo wala sio tatizo
Usimlipizie wewe tulia tuNinachoumia si yeye kunisaliti..ni kingine lkn kinahusu huo huo usaliti. Poa tu lakini...dawa ya moto ni maji.
duh pole!!!!! we wa jana habari ya kusalitiwa imenipata 1 and ahalf yr ago saiv ndo nipo normal tena raha ata likitokea jingne wala haliumi kivile.Vizuri. Lakini usijihakikishie kuwa hujawahi kusalitiwa..sema tu hujawahi gundua. Mwenzio nimesalitiwa jana tu hapa nauguza maumivu...halafu sijui hata kwanini naumia..aaaargh!
Hujielewi chunguza vizuri.mbona mie nakupigia kitu kama kawaAre you sure?
Dawa ya moto ni fire extinguisherNinachoumia si yeye kunisaliti..ni kingine lkn kinahusu huo huo usaliti. Poa tu lakini...dawa ya moto ni maji.
How comes betrayal awe ni enemy wako lazima awe friend closer ndipo ajizae adui yako
SijakuelewaHujielewi chunguza vizuri.mbona mie nakupigia kitu kama kawa
Kweli kabisa Best,How comes betrayal awe ni enemy wako lazima awe friend closer ndipo ajizae adui yako