Mpenzi wako alikusaliti katika mazingira gani na nini kilifuatia ulipogundua?

Amoxlin

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,784
4,089
Habari za leo wanajamvi.

Katika kipindi hiki ambacho upendo umeshamiri sana, kumekuwa na vitendo vingi vya usaliti ktk mahusiano hasa ya kimapenzi.

Wanaume kwa wanawake wamekua wakisalitiana kutokana na sababu mbalimbali hasa tamaa ikiwa ni sababu mojawapo.

Je, kama umeshawahi kusalitiwa ilikuwa ni ktk mazingira gani na ulichukua hatua gani?
 
siku hizo niko kwenye mkakati wa kupunguza dhambi sitaki kuongeza nilizonazo ni nyingi hivyo nakuwa mkweli kabisaaaaa
Vizuri. Lakini usijihakikishie kuwa hujawahi kusalitiwa..sema tu hujawahi gundua. Mwenzio nimesalitiwa jana tu hapa nauguza maumivu...halafu sijui hata kwanini naumia..aaaargh!
 
Vizuri. Lakini usijihakikishie kuwa hujawahi kusalitiwa..sema tu hujawahi gundua. Mwenzio nimesalitiwa jana tu hapa nauguza maumivu...halafu sijui hata kwanini naumia..aaaargh!
usiumie sana, ukikutwa na tatizo kama hilo angalia kwanza chanzo nini? angalia uwezo wako, mapungufu yako, matishio yapi yanakukabili na hata fursa ulizonazo kwa huyo mtu, pole sana mwaya ni changamoto tu hiyo wala sio tatizo
 
Ninachoumia si yeye kunisaliti..ni kingine lkn kinahusu huo huo usaliti. Poa tu lakini...dawa ya moto ni maji.
 
Vizuri. Lakini usijihakikishie kuwa hujawahi kusalitiwa..sema tu hujawahi gundua. Mwenzio nimesalitiwa jana tu hapa nauguza maumivu...halafu sijui hata kwanini naumia..aaaargh!
duh pole!!!!! we wa jana habari ya kusalitiwa imenipata 1 and ahalf yr ago saiv ndo nipo normal tena raha ata likitokea jingne wala haliumi kivile.
 
1465297407373.jpg
 
Mwanamke atakae nipenda halafu aniache aende akajichunguze sana tena hospitali ya wagonjwa wa akili!! Mm huwa siachi wala siachwi maumivu ya mapenzi huwa nayaskia humu jf na mitaani sijui yapo je!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom