griffin2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 694
- 837
Urafiki ndiyo mdudu gani kwa mfano? Tukiachana tunakuwa màadui wakubwa wala usirogwe kunipigia sim utakachokutana nacho hutoamini masikio yako, tukikutana njiani kwa bahati mbaya pita kule hats salam usinipe aiseeHii tabia Ni mbaya Sana.mie niliachana Na demu wangu lkn tumekuwa marafk wakubwa sasa.