Mpenzi wa zamani hapaswi kuwa adui

Mpenzi wa zamani hapaswi kuwa adui

list ilivyo ndefu duh mbona wtakuwa wengi.. ni bora kuachana tukikutana hi tunapeana na story za hapa na pale halafu story iishe
 
JAmani eeh, tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi kuwa adui. Nimeshuhudia Ma-ex wengi tu wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea.

Dunia duara, tabia za kuachana na mtu halafu unajifanya we kibaka mzoefu unaanza kumtukana ooh sijui nilikutoa wapi najuta kudate na wewe una sura kama kitunguu utakuja juta. Siku mnarudiana sura itakushuka kama chapati maji maana Kitunguu ndo kimekuwa mmeo tuone kama utamtumia kuungia mboga.

Muwe wastaarabu

Somo lilikuingia. Safi sana hahaa.
 
wengine bac tyu yaan hata ukimsalimia au kumtafta kwenye cm anadhan unataka kurudisha majeshi kumbe wapi ni kumpa salalmu tu, bac anariiiinga kumbe mtoto wa watu cna mda nahitaji urafiki tuu kuondoa uadui
 
Una maana hata kama ukiolewa au kuoa muendeleze mahusiano?
 
mi wa kwangu nimetoka kugombana nae juzi tu na nimemwambia hujui mapenzi na nilikupenda bahati mbaya tu na pia hujui mapenzi, ila hayo matusi yake anayejua ni mungu pekee.... mana nshampata chaguo la moyo wangu nimeamua kutulia sasa
Sasa hukupaswa kumdhalilisha kwa kashfa, hapo ndo umebugi
 
wengine bac tyu yaan hata ukimsalimia au kumtafta kwenye cm anadhan unataka kurudisha majeshi kumbe wapi ni kumpa salalmu tu, bac anariiiinga kumbe mtoto wa watu cna mda nahitaji urafiki tuu kuondoa uadui
Haukatazwi kuwa na urafiki nae, lakini usizidi,
sema kuna mijitu mingine ni milimbukeni
 
list ilivyo ndefu duh mbona wtakuwa wengi.. ni bora kuachana tukikutana hi tunapeana na story za hapa na pale halafu story iishe
Kwa nnavyokujua wewe, ukiona umemtema mtu ujue wallet yake imekauka.... Dah nawaskitikia Exes wako maana wametemwa bila kutambua sababu
 
Back
Top Bottom