Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Ila mkuu c unajua watu hawaachani, wanatengana tuHaitokei hiyo muda ukipita sana lazima akutishe msana masafa aliyotembea huyajui aweza kukupa kitu kibaya bora usile pension
Ila mkuu c unajua watu hawaachani, wanatengana tuHaitokei hiyo muda ukipita sana lazima akutishe msana masafa aliyotembea huyajui aweza kukupa kitu kibaya bora usile pension
Ni bora kuachana kabisa mkuu kwa sababu hujui muda mlioachana ametembea na wanaume wangapi na kilometer ngapi mkuu kila gari inavyotembea ndivyo inavyochoka sasa si atakuletea maradhi tu mkuu unaacha nae kupunguza stress kwakeIla mkuu c unajua watu hawaachani, wanatengana tu
Kama hukumkuta bikra ,ulijua kashatembea kilometer ngapi,??Ni bora kuachana kabisa mkuu kwa sababu hujui muda mlioachana ametembea na wanaume wangapi na kilometer ngapi mkuu kila gari inavyotembea ndivyo inavyochoka sasa si atakuletea maradhi tu mkuu unaacha nae kupunguza stress kwake
Akiwa mdogo waweza amini kuwa gari yawekwa bandani ikitoka yaendeshwa kidogodogo ila likishakuwa mbuzi kakata kamba mkuu huyo hashikiki aweza kukimbia kilometer 3 kwa saa hiyo ni kujihatarishia maisha mkuuKama hukumkuta bikra ,ulijua kashatembea kilometer ngapi,??
Mkuu kumbuka kuna posibility huko alipotoka kabla ya kuja kwako ndo alikua balaa...Akiwa mdogo waweza amini kuwa gari yawekwa bandani ikitoka yaendeshwa kidogodogo ila likishakuwa mbuzi kakata kamba mkuu huyo hashikiki aweza kukimbia kilometer 3 kwa saa hiyo ni kujihatarishia maisha mkuu
Hapo usitumie posibility kwa kuwa ulianza nae tumia probability baada ya kuachana na probability ya maradhi au kukosa tamu ni kubwa kuliko kupata utamu na kukosa maradhi kumbuka waweza pita matembo na mapunda kumbe wewe ni kimbuzi utapwaya mkuuMkuu kumbuka kuna posibility huko alipotoka kabla ya kuja kwako ndo alikua balaa...
Wala sikondi mkuu kwani wanawake wameisha mjini,nipo happySasa ukifuata situations hizo ndo unajikuta unakonda kwa kumuwekea kinyongo mtu aliyekusahau
Kweli aisee!. Haya mambo magumu sana, leo unaambiwa umekuwa msaada mkubwa ktk maisha yake.....ha ha haaaahDuuh, lakini dua mbaya haombewi mtoto
Urafiki gani Yani imeagizwa mpende adui yako ila kumbuka si rafiki yako. So mmeachana urafk gan unatafutawengine bac tyu yaan hata ukimsalimia au kumtafta kwenye cm anadhan unataka kurudisha majeshi kumbe wapi ni kumpa salalmu tu, bac anariiiinga kumbe mtoto wa watu cna mda nahitaji urafiki tuu kuondoa uadui
Inatokana na nini na urafiki mkubwa baada ya kuachana ulianzaje?Hii tabia Ni mbaya Sana.mie niliachana Na demu wangu lkn tumekuwa marafk wakubwa sasa.
Haujawaelewa vzuri watu na unafiki wao kwenye suala zima la mahusiano. Wapo wengine ukisikia akimtolea maneno ya kumshusha kwa kumkashifu mwenzie,huwa ni kinyume na maneno yale. Kujikweza tu.Eti Sura kama kitunguu ,,,,mbona ulikubali kudate nae?