Mpenzi wa zamani hapaswi kuwa adui

Mpenzi wa zamani hapaswi kuwa adui

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,260
JAmani eeh, tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi kuwa adui. Nimeshuhudia Ma-ex wengi tu wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea.

Dunia duara, tabia za kuachana na mtu halafu unajifanya we kibaka mzoefu unaanza kumtukana ooh sijui nilikutoa wapi najuta kudate na wewe una sura kama kitunguu utakuja juta. Siku mnarudiana sura itakushuka kama chapati maji maana Kitunguu ndo kimekuwa mmeo tuone kama utamtumia kuungia mboga.

Muwe wastaarabu
 
JAmani eeh, tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi
kuwa adui, nimeshuhudia Ma-ex wengi tu
wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp
kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea. Dunia
duara, tabia za kuachana na mtu halafu unajifanya
we kibaka mzoefu unaanza kumtukana ooh sijui nilikutoa wapi najuta kudate na wewe una sura
kama kitunguu utakuja juta. Siku mnarudiana sura
itakushuka kama chapati maji maana Kitunguu ndo
kimekuwa mmeo tuone kama utamtumia kuungia
mboga. Muwe wastaarabu
Hahahahahahah,ngoja watoke huko walipofungiwa
 
Eti mwingine anasema mwanaume mwenyewe hujui mapenzi wakati mnarudiana anakuambia ooooh baby umejifunzia wapi
 
Hii tabia Ni mbaya Sana.mie niliachana Na demu wangu lkn tumekuwa marafk wakubwa sasa.
 
JAmani eeh, tujifunze sheria mpya,Ex wako hatakiwi
kuwa adui, nimeshuhudia Ma-ex wengi tu
wakiachana na kurudiana baadae, au Ex kukuhelp
kwenye ishu muhimu bila wewe kutegemea. Dunia
duara, tabia za kuachana na mtu halafu unajifanya
we kibaka mzoefu unaanza kumtukana ooh sijui nilikutoa wapi najuta kudate na wewe una sura
kama kitunguu utakuja juta. Siku mnarudiana sura
itakushuka kama chapati maji maana Kitunguu ndo
kimekuwa mmeo tuone kama utamtumia kuungia
mboga. Muwe wastaarabu
Nikiona mwanaume anatumia maneno kama "my ex" huwa namuona kama msengwile vile
 
Message sent and delivery, hii mada sichangii maana mhusika yupo humu na anaijua ID yangu. Ujumbe mfikie tu! na sms yake ya mwisho 2013 aikumbuke vizuri na kauli zake kwangu za sasa alinganishe!!! ha ha haaah!
 
haaaaaaa huuu uongooo wa mwendokasi hukumsaidia ulpokua nae thamani ionekane baada ya kuachana hamna kitu kama hchoooo
 
Duh.. STUNTER itategemea na sababu ya kuachana

Mi demu akinipiga mzinga tu basi uyo atakuwa adui yangu namba mbili
 
Eti Sura kama kitunguu ,,,,mbona ulikubali kudate nae?
 
Message sent and delivery, hii mada sichangii maana mhusika yupo humu na anaijua ID yangu. Ujumbe mfikie tu! na sms yake ya mwisho 2013 aikumbuke vizuri na kauli zake kwangu za sasa alinganishe!!! ha ha haaah!
Duuh, lakini dua mbaya haombewi mtoto
 
mi wa kwangu nimetoka kugombana nae juzi tu na nimemwambia hujui mapenzi na nilikupenda bahati mbaya tu na pia hujui mapenzi, ila hayo matusi yake anayejua ni mungu pekee.... mana nshampata chaguo la moyo wangu nimeamua kutulia sasa
 
Back
Top Bottom