Habarini wanafamilia?
Mimi sasa Leo ninaomba ushauri, mwaka 2020 Kipind nafanya kazi mgodini, niliachana na demu tuliyedumu nae miezi 4, nikampotezea kabisa, sababu ni kutokuvutiwa nae, yeye ni wale mademu wanene sana afu shape hamna wakat mim napenda English figure, yupo yupo tu,mwaka huu kanitafuta anadai amenikumbuka sana kutokana na wajibikaji wangu kwenye mambo ya love affair.
Kwa sababu nilipoteza kazi yangu ya awali nikamchana live kuwa mapenzi kwangu now sio priority kutokana na matatizo ambayo ninayo ya kiuchumi, akasema nisijari atanivumilia, japo yupo mbali kidogo.
Sasa jana wakati najiandaa kulala nikaona message WhatsApp, kufungua nikakuta kanitumia nudes picture za kutosha, najiuliza Hiv ni kawaida mwanamke kutuma picha kama hizo bila kuombwa?
Au atakuwa na matatizo ya akili? From no where anatumia tu? Daa licha ya kumsifia lakini nilizifuta muda ule ule alotuma, ndo nauliza wadau ni kawaida au ana shida mahara?