Mpenzi wa kike

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,664
412
Tafuta malkia
wapendwa wana jf akina dada, hamjambo??? Mimi ni mwanamume, kwa heshima na taadhima nimeona na nimeamua kutafuta mpenzi hapa jf.
Mpenzi nitakaempa mapenzi yangu yote.
Wale wanaopenda matani,mimi sitanii nipo serious kabisa. Akipatikana na nikathibitisha yupo serious mambo yanaanza mara moja.

Mpenzi mwenyewe ni muhimu awe mpole kwa vile najijua mimi ni mpole pia, siyo fara bali ni mpole. Pia awe ni mtu anaependa maendeleo.


Kuhusu mimi:
Tutaongea zaidi kwenye pm.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom