Hi mrembo,mambo vipi,ni mara yangu ya kwanza kukuona humu na nimevutiwa,nimejikuta navutiwa na wewe,una thamani ya juu kwangu,naomba nipe S.L.P yako.Ile ya kusaidiana anapokwama sawa.. ila sio kukuomba kila siku
Ile ya kusaidiana anapokwama sawa.. ila sio kukuomba kila siku
Hi mrembo,mambo vipi,ni mara yangu ya kwanza kukuona humu na nimevutiwa,nimejikuta navutiwa na wewe,una thamani ya juu kwangu,naomba nipe S.L.P yako.
mi naishi kunduchi.
Haaaaaaaaa umenichekesha sana....., umejuaje kama nina thamani ya juu??
Maisha haya msaidiane wakuu.Kama anajidekeza tumia akili yako,si mmependana?Usikimbie,utaanguka uumie mkuu!