Hahhahahahahahhahaa polepole usipanie sana utapaliwa bureee....
Mdogodogo ndio mwendo.
Kasie.
Ngoja tumalize kuangalia a potential big party in Tz for nearly 40yrs....Taifa Stars 1 Uganda 0
Hujamgundua tuakili za wanawake bhana..!
Walai we dada nakupenda sana sio siri.
Nyuzi zako zinaniumiza nafsi na mwili..
Sent using Jamii Forums mobile app
anaandika kwa hisia eh..mm huwa namwelewa sana..mapenzi bwana
Huu uzi kama maneno yake yamenizid umri. By the way ngoja niendlee kusoma comment moja baada ya nyngne.
Sent using Jamii Forums mobile app