luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,361 Reaction score 6,966 Jul 12, 2020 #1 Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,030 Reaction score 111,617 Jul 12, 2020 #2 Ni sahihi ila kuna vipaumbele kabla ya kuanzisha mahusiano nadhani unazungumzia mahusiano ya kimapenzi ujaspecify ni mahusiano ya aina gani.
Ni sahihi ila kuna vipaumbele kabla ya kuanzisha mahusiano nadhani unazungumzia mahusiano ya kimapenzi ujaspecify ni mahusiano ya aina gani.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,246 Jul 12, 2020 #3 Wewe unaonaje?