Mpenzi Natasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpenzi Natasha

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Sep 21, 2010.

 1. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Jamani bado namfukuzia Natasha, Siwezi mPM maana MOD watasoma, nimekumbuka barua niliyomwandikia mwaka 1994. Huko uliko nijibu, Mwenzako ni Mchungaji ila bado nakupenda

  Masa K
   
 2. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Eeeh...... Faza una mpenzi???
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hivi alipotelea wapi Natasha?
  Aliwekwa kinyumba nini basi mchungaji umesha mkosa.
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Umecheki mashairi? Kama hunitaki usimwambie mtu
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hee Rev Masanilo umeamua kuwa Deacon, Natasha yupo ila nadhani kwa kuwa wewe ni mchungaji na majukumu yako ni kulinda wanakondoo wasipotee itabidi ujchukue jukumu la kumtafuta alipo. ANGALIZO: USIJE UKAMUWEKA KINYUMBA UKIMPATA NA UKATUMIA HELA ZA WAUMINI KUMUHUDUMIA:becky::becky:
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani mimi nampenda tu kwenye barua na si zaidi!
   
 7. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #7
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mchungaji mashairi yametulia ingawa vina ndo mgogoro. ila usijali, mwaka 1994 nadhani ulikuwa unajifunza, akikujibu hii najua utaweza kujibu kwa mashairi yenye vina vilivyosimama
   
 8. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #8
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ha haaaaaaaaa, Mchungaji, unaleta maneno ya Queen?
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Natasha enzi hizo alikuwa anapendeza sana nywele zake za twende kilioni na suruali za Kakoba msheli
   
 10. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #10
  Sep 21, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  siku hizi atakuwa ameshabadilika. inawezekana ni mwendo wa ma-wig na legging
   
Loading...