Mpenzi mzuri sio Baba au Mama mzuri

Mpenzi mzuri sio Baba au Mama mzuri

Googly

Senior Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
121
Reaction score
130
Mzuri wa kudate naye sio mzuri wa kuanzisha naye familia. Au sio sahihi wa kuwa baba au mama
Kuwa na mtoto na mtu ni kitu kikubwa sana. mtoto hana uwezo wa kuchagua baba au mama

Lakini mwanamke unauwezo wa kumchagulia mwanao baba na mwanamme unauwezo wa kuchagulia mwanao mama

Tusiwatese watoto kwasababu ya uzembe wetu.
Fanya maamuzi sahihi kwaajili ya mwanao..
A funny and wonderful personal to date isn't a great mother can be a toxic wife or mother
A handsome and wealthy man can be an abusive father..

Accidents happens but still you can choose for your kids
 
[emoji121]
MKUU,

MSAADA WA PICHA TAFADHALI!!!
 
Back
Top Bottom