Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,076
- 6,774
mimi nataka tukae na mtoto kabisa kama inawezekana mtoto mama yake anaruhusiwa kuja kumuona anytime ata akitaka kuhamia poa
wakumbushiane tu sina shina nitawasuportWacha tu akae kwa mama amlete kwa mapenzi yake. Kukumbushiana ni tabia tu anaweza akakumbushia kwa wengine jiamini. Ila mi mpinzani wako huko pm
Hapana 31 bado mdogo sana yaani hapo tutazeeka wote
Embu ni Pm mm kama jamaa hatokuwa tayar...weka kabisa na mawasiliano yako..
Mkuu acha kuniharibia nipo seriousEmbu ni Pm mm kama jamaa hatokuwa tayar...weka kabisa na mawasiliano yako..
Kula kichwa bi mdadanaombeni ushauri nimchukue huyu jamaa au?
Bado mdogo ustawi wa jamii hawawezi kuturuhusu wanataka at least mtoto afike 5mimi nataka tukae na mtoto kabisa kama inawezekana mtoto mama yake anaruhusiwa kuja kumuona anytime ata akitaka kuhamia poa
Mh... Kwa dada zetu wa digital ni wachache wenye moyomimi nataka tukae na mtoto kabisa kama inawezekana mtoto mama yake anaruhusiwa kuja kumuona anytime ata akitaka kuhamia poa
Misa Natafuta Mungu akubariki wazo zuri sanamimi nataka tukae na mtoto kabisa kama inawezekana mtoto mama yake anaruhusiwa kuja kumuona anytime ata akitaka kuhamia poa
Unapenda slope eeehh!!!!Embu ni Pm mm kama jamaa hatokuwa tayar...weka kabisa na mawasiliano yako..
Ohoooo..we jiulize mara mbili mbili,watapita mwewe utakua umechelewahaya pigeni kura
kama mtoto hatunzwi vizuri unamchukua tu mkuuBado mdogo ustawi wa jamii hawawezi kuturuhusu wanataka at least mtoto afike 5
Sent from my M910 using JamiiForums mobile app
mambo ya mume wangu kupigiwa simu ooh njoo mtoto anaumwa sitaki .aje yeye sio mume wangu amfate.Misa Natafuta Mungu akubariki wazo zuri sana
hatuna shida mkuu .Mh... Kwa dada zetu wa digital ni wachache wenye moyo
Kwelii kabisamambo ya mume wangu kupigiwa simu ooh njoo mtoto anaumwa sitaki .aje yeye sio mume wangu amfate.